You are here

Back to top

Uongozi Na Utumishi: Mwongozo Kutoka Maandiko Matakatifu (Paperback)

Uongozi Na Utumishi: Mwongozo Kutoka Maandiko Matakatifu Cover Image
$28.75
Usually Ships in 1-5 Days
(This item cannot be returned.)

Description


Katika kitabu hiki ninaandika habari za Utumishi. Ikiwa kwa muda mrefu umetamani kutumika kwa namna Maandiko Matakatifu yanavyoeleza, basi kitabu hiki ni mwafaka kwako. Katika kitabu hiki utajifunza tofauti za kiongozi na mtumishi na kwa namna hiyo utarudishwa katika utumishi ambao kama utapenda kuufuata kama ilivyoelezwa kwenye kitabu hiki, umalizapo huduma yako, Mungu atakuambia "vema mtumishi mwema, umefanya kama nilivyokuambia.

Product Details
ISBN: 9781981309146
ISBN-10: 1981309144
Publisher: Createspace Independent Publishing Platform
Publication Date: December 1st, 2017
Pages: 206
Language: Swahili